send

info@mwakiautomobile.co.tz

MWAKI AUTOMOBILE CO.LTD

"Low Mileage Cars at an affordable price"

Kuhusu sisi

Karibu

Karibu kwa huduma ya kuagiza gari ya ndoto yako kutoka kwenye masoko zaidi ya 20 ndani na nje ya Japan, Dubai, Singapore na hata kutoka Uingereza. Tutasimamia au kubeba dhamana ya manunuzi ya gari yako uitakayo kutoka popote duniani na kukuletea mpaka ulipo popote hapa Tanzania.Huduma yetu ni NAFUU na SALAMA na yenye kukidhi viwango vya hali ya juu

Maono

Kuwa kampuni bora inayotoa huduma bora kwa wateja wake ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Harakati

Kuwa mtoa huduma anayeaminiwa, anayewajibika na anayethamini wateja wetu wote (to be a trustworthy, responsible and innovative value provider to all our customers)

Bw. Titus A. Mwakipesile - Mkurugenzi mtendaji

Mwaki Automobile Co. Ltd ni kampuni ya kizalendo hapa nchini Tanzania inayotoa huduma ya kuwaagizia watu magari kutoka pande mbalimbali za dunia, na kuleta kwa wateja wake nchini tanzania na nje ya tanzania. Kampuni imepata baraka zote za kuendesha au kutoa huduma hizi kupitia BRELA na kupata leseni kutoka wizara ya viwanda na biashara. Leseni hiyo inaturuhusu kutoa huduma ya kuagiza magari kutoka nje ya nchi kwa niaba ya wateja wetu wanaohitaji huduma hiyo. Ni kampuni inayofuata taratibu, kanuni na sheria za nchi katika kujiendesha kwake. Tunaamini katika kukupa huduma nzuri, salama na nafuu kadri iwezekanavyo, na tumekuwa kwenye kutoa huduma hizi kwa muda mrefu na tuna uzoefu wa kutosha. Tutakusaidia kupata gari zuri na bora.

Timu yetu

© Mwaki Automobile (T) Ltd

Design Silvanux | Afribrainy