HUDUMA ZETU

HUDUMA ZETU ZILIZOANGAZIWA

HUDUMA ZETU

UAGIZAJI WA MAGARI KUTOKA NJE YA NCHI

 Tunasaidia wateja kuagiza magari kutoka Japan, Dubai, Uingereza, Afrika Kusini, na nchi nyingine.
🔹 Tunashughulikia taratibu zote za usafirishaji na forodha kwa niaba ya mteja.
🔹 Tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu magari bora kulingana na bajeti na mahitaji ya mteja.

UUZAJI WA MAGARI MAPYA

🔹 Tunauza magari mapya kwa hali bora.
🔹 Tunatoa aina mbalimbali za magari kama sedan, SUV, pickup, malori, na mabasi.
🔹 Magari yetu yanakaguliwa ili kuhakikisha ubora na utendaji wake.

 

USHAURI NA MSAADA WA TARATIBU ZA KISHERIA

🔹 Tunatoa msaada katika usajili wa magari na upatikanaji wa namba za usajili (number plates).
🔹 Tunashughulikia taratibu za bima za magari kwa wateja wetu.
🔹 Tunatoa mwongozo wa ushuru wa forodha na taratibu za TRA kwa magari yaliyoagizwa kutoka

KUKODISHA MAGARI (CAR RENTAL SERVICES)

🔹 Tunatoa huduma za kukodisha magari kwa shughuli za binafsi, biashara, na kampuni.
🔹 Magari yetu yanakodishwa kwa gharama nafuu na yanatunzwa vizuri.

USAFIRISHAJI WA MAGARI (CAR DELIVERY SERVICES)

🔹 Tunatoa huduma ya kusafirisha magari kutoka bandarini hadi mikoa mbalimbali.
🔹 Wateja wanaweza kuchagua kufuata gari bandarini au tukawasafirishia hadi eneo walilopo.

CLEARING SERVICES(Huduma Ya Kutoa Mizigo Bandarini)

Unaweza ukawa umeangiza Gari Nje inaweza kupitia kwetu au uliamua Mwenyewe Kulipia huko Nje,unaweza Tukabidhi Nyaraka zako zote vinavyohitajika Katika Kutoa Mzigo/Gari Yako Bandarini,Tukaifanya Kazi hiyo Kwa Unafuu na Usalama Mno

Back to top