NAMNA YA KUAGIZA GARI

JE UNAHITAJI KUAGIZA GARI

Kama Ndio Basi hapa ndio mahala sahihi kabisa na salama kwa kupata Gari ya Ndoto yako Tuna Njia zifuatazo

1) UNAWEZA KUJA OFISINI

  • Unaweza Kuja Ofisini kwetu na tukatafuta kwa pamoja Gari ulitakalo na kujua Gharama za Gari Yako Mpaka na Usajili wake Litakapokuwa Limefika na Gharama hizo Hazitakuwa na Ongezeko Lolote lile Gari ikifika
2) KUTUMIWA KWA MTANDAO
  • .Unaweza kuwa Mbali na Ofisi zetu na unaweza kutupatia oda yako kisha kukutafutia kwa kina na kushea nawe kwa njia ya email au kwa whatsapp na utakayoipenda utatuambia ili hiyo hiyoifanyiwe mchakato wa kuagizwa au kuja
3) UKISHAICHAGUA GARI UKIPENDA ITAFUATA MALIPO

Baada ya Kuchagua Gari Uliyoipenda kitakachofuata ni kuhusu Malipo Ya Gari Hiyo ili ije kwenye kufanya Malipo  yako Pia kutakuwa na uchaguzi zaidi ya aina mbili

  1. Malipo katika uwagizaji wa gari yanaeza kufanywa mara Mbili au Zaidi ya Mbili
  • Unaweza kulipa Asilimia 30 Kwanza
  • Au Unaweza Kulipia Asilimia 50 Pia hayo tunayaita malipo ya Awali.
  1. Malipo Mengine Utayafanya Baadaye baada ya Gari yako kufika hapa Tanzania Haya tunayaita malipo ya awamu ya pili

NB:MALIPO  YOTE HAYO UTAYAFANYA KWA USALAMA KWA AKAUNTI YA KAMPUNI KWA BENKI YA JIRANI YAKO AU KWA SIMU MKONONI MWAKO KUPITIA APPS ZA BANK HUSIKA TENA KWA FEDHA ZA KITANZANIA

PENGINE UNAHITAJI KUFAHAMU/KUJUA MUDA

Unapoagiza Gari Yako Kupitia Kampuni Yetu Utasubiria Kwa Mwezi Mmoja na Nusu (Siku 45 tu) na Kupokea Gari lililokamilishwa na Usajili na Ofa Mbalimbali

Faida za Kuagiza Gari Kupitia Mwaki Automobile

✅ Huduma ya uhakika na inayotegemewa
✅ Ushauri wa kitaalamu kuhusu magari
✅ Bei rafiki na ushindani
✅ Msaada wa forodha na usajili

Back to top