Kuhusu Sisi

KUHUSU MWAKI AUTOMOBILE .CO.LTD

Mwaki Automobile ni moja ya kampuni bora sana inayotoa huduma za uagizaji wa magari kutoka nje ya Tanzania na kuyaleta nchini kwa oda za Wateja .Magari yote yanayoletwa kupitia kampuni yetu yanakuwa na Ubora wa Daraja nafuu na hivyo kumfanya Mteja afurahi Huduma.Magari yote Hutafutwa kwa kina kwa kufuata vigezo vya Mteja Husika ikiwemo kukaguliwa na kupata cheti kwa ajili ya kusafilishwa kutoka huko ilipo kuja Tanzania.

 Tunajali Fedha za Mteja wetu Hivyo Tunahakikisha Gari analopata lina tahamni inayoendana na Fedha aliyoitoa na hata kuzidi Matarajio yake na Kwa Kuzingatia Hilo,Tumekuwa wazee wa Low Mileage Cars wa Muda wote.Tumeaminiwa na Makampuni Mengi na Mtu mmoja mmoja pia kwa uwingi wao na kufanikiwa kuwaletea Magari Mazuri na kwa Wakati 

 Ofisi zetu zinafika na kila Mtu kwa Kuwa tupo katika Jengo ambalo linafahamika na watu wngi(Jengo La PSSF Quality Plaza) Ambapo pia tupo pamoja na mamlaka ya mapato (TRA) ambapo huduma zitakazohitaji utaratibu wa TRA zitafanyika kwa uharaka na wepesi pia.Tuna Uzoefu wa Kutosha wa huduma za Uagizaji wa magari kutoka kwenye masoko zaidi ya 20 ya huko Ja[ani,Dubai,Singapore na Hata Uingereza.Sisi ni wakala Mkuu wa Kampuni ya Wauzaji Magari ya Carused.JP

Mwaki Automobile ni kampuni inayojishughulisha na uagizaji na uuzaji wa magari nchini Tanzania. Ikiwa na uzoefu mkubwa katika sekta ya magari, kampuni hii imejipatia sifa nzuri kwa kuwahudumia wateja wake kwa uaminifu na ubora.

Huduma zinazotolewa

  • Uagizaji wa Magari

    • Mwaki Automobile huagiza magari kutoka nchi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Japan, Dubai, na Afrika Kusini.
    • Wanahakikisha magari yanayowasili ni ya hali bora na yana viwango vya kimataifa.
  • Ukodishaji wa Magari

    • Kampuni yetu tuna huduma pia za kUKODISHA magari kwa watu Binafsi, kwa Taasisi/Mashirika  mbalimbali kwa Gharama NAFUU SANA.
    •  
  • Ushauri wa Manunuzi

    • Wataalamu wao wanawasaidia wateja kuchagua gari bora kulingana na mahitaji na bajeti zao.
    • Wanatoa ushauri kuhusu taratibu za forodha na usajili wa magari.
Back to top